Rosella Lyrics - H_Art The Band × Lady Jay Dee
Afraid to tell him how she feels She silently whispers to herself Afraid, holding her breathe, maybe he might hear her. See, he doesn't feel the same way, Maybe H_Art the Band Lady Jay Dee Verse 1 Nikaja kupenda na moyo wangu wote, Binti huyu aliyenyefanya nimuote, usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa Sionekani popote nikaja kutenda mambo Mengi magumu na mazito Ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama naona kwamba niliachwa upweke. Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa Chorus Rosela, mi najiuliza Rosela, Je umebadilika Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2 Verse 2 Ni ukweli niliamua kuondoka. Nikidhani nitapendwa niendako Ooh hakuna Oh mi nilidhani nitakuta tofauti hio yote mpaka sasa sij...