Posts

Showing posts from August, 2025

DONJO MABER LYRICS- IYANII X DUFLA

Image
Ikibamba sana basi pull it up Selekta cheza doba once from the top Whoa Donjo Maber donjo Donjo maber, donjo maber Chunisha speaker we mash it up Fire we light it up Donjo Maber donjo Donjo maber, donjo maber Tuko tao CBD kwa penthouse Wanadhani si bidii ni guesswork Lakini juu ya bidii tunazoza Na ni magrammy tu ndio tunangoja Donjo maber, kwa mdomo ni kuber Na doba jua ni mwaki ukipenda imeliel Napendwa na mapeng Na wote jo ni 10 Nikikusalimia unanijibu tu maber Napenda, napenda vile magala wamekuja wamebeba Napenda, napenda vile mamanzi wamekuja wameiva Aah Ikibamba sana basi pull it up Selekta cheza doba once from the top Whoa Donjo Maber donjo Donjo maber, donjo maber Chunisha speaker we mash it up Fire we light it up Donjo Maber donjo Donjo maber, donjo maber Dufla Makwela na machaji wanazitoka Starehe hubamba sana baada ya mboka Masanse watiaji tutawatoka Salamu huanga moja na ni topshota Bado originali, Dufla huanga mkali Ninazunguka town mpaka mashinani Colabo na Iyani anthem ...