Posts

Showing posts from August, 2024

ELOHIM- AIC CHANG'OMBE CHOIR LYRICS

Image
Asante ELOHIM  Wewe Ni MUNGU Unaetenda  Asante ELOHIM  Wewe Ni MUNGU  Ni Mungu ( Unaetenda) Tumetembea na wewe Toka mwanzo uko pamoja nasi  Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako (Asante ELOHIM) Ulitangulia Mbele  Bila wewe Tusingeweza Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako ( Asante ELOHIM) Mabaya Yaliinuka  Lakini hayakutupata  Ulitutetea, Ulitushindia ( Asante ELOHIM) Ndio Maana Tunakusifu  Umetenda Makuu Kwetu  Umetutetea,Umetushindia  (Asante ELOHIM) Tunashukuru Ee Baba (Asante ELOHIM ) Mkono Wako Umetubeba(Asante ELOHIM)