JOSH CLEOPA NIPONYE NA MIMI- LYRICS
Niponye na mimi Niponye na mimi Niponye na mimi Lord I am hunted ×2 Vile anipendavyo baba Hata nikosee vipi Pendo lake halibadiliki kwangu Vivyo ilivyo zaidi Kwa baba wa mbinguni Matendo yangu yasiwe rugha kwako Usipime upendo wangu Kwa udhaifu wangu Mi mwanadamu kasoro utapata tu Kidonda kitoapo funza, Baba usinikatae Nikumbatie, uwe pumziko langu Niponye na mimi Niponye na mimi Niponye na mimi Lord I am hunted ×2 Neema hii sio chanzo Cha mimi kukosea Baba yangu hili nakiri kwako Maana moyo wangu huradhi Kufwata neno lako Ila mwili wangu umekua kikwazo kwangu Pale ninapoteleza Baba uniinue Ninaposhindwa baba nisaidie Oh Yesu je wajua nakupenda? Oh kweli baba, mimi nakupenda Oh Yesu je wajua nakupenda? Kweli baba, mimi nakupenda Usipime upendo wangu Kwa udhaifu wangu Mi mwanadamu kasoro utapata tu ×2 Niponye na mimi Niponye na mimi Niponye na mimi Lord I am hunted Niponye na mimi (Mimi mdhaifu) Niponye na mimi (Mimi mwenye kiburi) Niponye na mimi Lord I am hunted...