TAKE IT ALL by DR IPYANA lyrics (Chukua Utukufu Wako)
(Dr. Ipyana) So take all of your glory Honor and praise unto you For you are worthy to be praised Son of God x2 (Back up) Take all of your glory Honor and praise unto you For you are worthy to be praised Son of God x2 Chukua utukufu wako Heshima mamlaka ni zako Umeinuliwa juu Umeinuliwa juu Chukua utukufu wako Heshima mamlaka ni zako Dunia yote inakiri uu bwana Umeinuliwa juu Chukua utukufu wako Heshima mamlaka ni zako Take it all, take it all Chukua utukufu wako Heshima mamlaka ni zako Take it all, take it all. Prayer & Intercession