Posts

Showing posts from August, 2019

NISAMEHE by Gilad Ft Naiboi Lyrics

Image
Gilad This is where we begin... Mrembo wangu we, nimekuumiza roho I know This time let’s take it slow Mrembo wangu we, nimekuumiza roho its true this time, it’s me and you Utanisamehe someday, baby just believe your heart Utanisamehe someday tutapaa angani from the start Utanisamehe someday and the sun will shine again Utanisamehe someday, this is where we begin With Im sorry, sorry sorry, I’m sorry, sorry sorry   With Im sorry, sorry sorry, I’m sorry, sorry sorry   Naiboi Oh, please forgive me, nimekosa mara kadhaa kadhaa na bado Nakufuatanga Ma’ believe me, Imma do everything I can to make it work You know you make me better, without you sioni kitu better This time natwanga kupepeta, my baby hakuna kuteleza, kuchelewa So, come back and hold me tight, mi ni wako you know you’re mine Lemme feel you just one more night, nisamehe One more time, one more time Utanisamehe someday, baby just believe your heart Utanisamehe someday tuta...

EL SHADDAI LYRICS by H_ART THE BAND

Image
El Shaddai, Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai El Shaddai, Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shadda El Shaddai 1. Dex He is an awesome God, amenipa such an awesome song And I'm never lonely, amenipa such an awesome love He is an awesome God, and I wanna tell it to the world Ili wajue ni wewe, kama si wewe basi nani Nasikia landlord ako kwa njia anataka kodi ( ni wewe utaprovide) Na nina ngori moyoni zinanijaza worry (Ila nitakua fine) El Shaddai, Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai ×2 2. Kenchez Mmh, and everyday, everyday is an awesome day Na vile unanibariki, hata mimi sielewi Everyday everyday, you come in an awesome way Kwenye dhiki nimepata rafiki, rafiki wa kweli Na kuna kaloan mahali kananijaza worry, niwewe utaprovide Nina mahari natamani kulipia mpenzi sote tutakua fine Na madakitari wanasema hali sio hali, wewe unaju...