USISEME NO LYRICS - H_ART THE BAND
Msupa karibu, keti chini Nimekawia kukuona Oh kukuona Sibambiki vile siku hizi kuna vile umekua ukinitoka Ukinitoka Ukiniona mtaani vichochoroni wewe huyo unapiga kona Unapiga kona Nieleze kama ni napenda ama ni ukweli ninavoskia eti umechoka Oh umechoka Na kile unataka mi nitadu ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku , usiku, usiku Na kile unataka mi nitadu beibe ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku usikuu usikuu Eeeeh Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa Ili kwako niweze rejea, usiseme no no no Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa Ili kwako niweze rejea, usiseme no no no No no, usiseme no, Nooooou No no, usiseme no, Nooooou No no, usiseme no, Nooooou No no, usiseme no, Nooooou Usiseme no ooh noooh Unanistalk Instagram unanihate si the same Mama mboga anashangaa kwani niliwacha kuja kukopa mboga Mabeshte wanakuulizia nashindwa vile nitawaelezea kule wewe ulikopotelea potelea potelea Mabeshte wanakuuli...