Posts

Showing posts from May, 2018

Java Love - Tha Movement × Wamvii Lyrics

Image
Eti leo twaenda date Na mpenzi wangu kukula keki To where all the rich folks go, today I promise you, I will treat you good. Tutaketi kwenye booth, Ile ya corner Tutaitisha menu, tukule bora Cause I have saved up for you Java love java love Cause I have saved for you Java love java love Java love my java looove Java love sweet java love Ewe mpenzi karibia, busu kwenye cheek No no no no no Mziki mzuri tutasikia Tukikunywa hii kadrink Watu wanatuangalia, na sisi hatujali Oouh oh, cause I have saved up for you. Java love java love Cause I have saved for you Java love java love Java love my java looove Java love sweet java love Nitakufikisha stage, make sure you get home safe Lazima nikufikishe stage, please call ukifika home same Java love java love Java love My java love Java love sweet java love You're my java love my java loooovee ooh My Java love https://youtu.be/P2lkT-neEuc  - Link To The Video

Chaguo La Moyo- Otile Ft Sanaipei Tande Lyrics

Image
Oh baby nooo Mi nakuchagua wewe, Wewe uwe wangu Mume wangu, Baba ya watoto wangu Kupendwa na wewe majaliwa, kukuoa baraka Mshikaji wangu wa maisha, Ooh baby I love you And for you, mi nabadili mienendo yangu baaba baby for you, mi naukimbia ujana CHORUS Nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe  Natakaa nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe Chaguo la Moyo, Chaguo la moyo Na kwenye madhabau unavyo ng'aa Unavyopendeza kwenye hilo rinda Oh baby I knew you were the one for me Oh baby you are the one for me I can tell the way you smile the way you laugh The way you talk, the way you walk Baby you are the one for me I swear you are the one for me CHORUS And for you, mi nabadili mienendo yangu mama Baby for you, mi naukimbia ujana wangu Nijenge boma nawe, nawe zae watoto nawe , nawe Niwalee pamoja nawe, nawe Nizeeke paamoja nawe, nawe ...

TENA NA TENA By Red Acapella and H_Art The Band Lyrics

Image
INTRO MAGHA Tena na tena na tena na tena …Wolan! Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena YABADOO Kuna a lot of fire on the floor and this is how we turn up agiza more Sauti ya kinanda ongeza bro Kama uko na shida sema ukanjwe madoh Wale mambleina a few huletaga war Ka unakashida we sema usipigwe kawar Usinishukishe kateper utapigwa mablow Zikishika kabrother usichome ukijafnya pro Usijidai we ni deadly ukazidi ukalala kwa choo Finya finya finya player, washa moto iwake each and every where Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena DJ tafadhali finya player, wacha moto iwake each and everywhere Nataka ona kila mkono kwenye hewa, yeah tunaifanya tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena Tunaifanya tena na tena na tena DEX Nipe more flow nipe more doh nipe more shows Nipe more niweze kugrow more Nina njaa nina njaa ya kung'aa na nina tamaa ya kufika far ndi...