Nurulain Lyrics By Masauti
Stanza 1 Kwako sioni scandal Baby nipe upendo Usinitupe kando Oohhhh... Ohhh Upendo wako umenijaa mi, Mpaka wengine siwaoni Baby you drive me crazy Umeniziba zangu mboni Nimekuzoea,na kila time nataka niwe nawe Girl you're my other half, You make me complete & i always say. You're my fantasy,the way you wear you're makeup is cute i see. Una urembo wa tausi,mwendo taratibu yaani bila kasi. Chorus You're the one I wanna marry Uwe mpenzi wa halali Baby you're my Nurulain na nafurahi upo nami. Ahe ah Ahe,Ahe I wanna marry you Stanza 2 Mwenehu dede usiniriche mi ..nizakuzwera ndzo ukale nami, tulipotoka ni mbali basi penzi tulifadhili. Moyo wangu umehifadhi hisia zako baby, and I will never make you cry laika mi ni wako baby... You're my fantasy.....