Posts

Showing posts from June, 2017

Nahisi Upo Gilad Featuring Bensoul Lyrics

Image
I see you in my dreams, bado nakuona Me I'm just like anyone, saa zingine nikifa moyo, Nahisi upo Unaniinua I'm just like anyone, saa zingine nikifa moyo, Nahisi upo, Unaniinua Saa zingine nikiwa nimefunga macho nakuona I see you in my dreams, saa zingine kukiwa kumetulia Nahisi upo Tell me can you feel it too…Nahisi upo Sometimes nikifunga macho, I still see you in my dreams Bado nakuona, I still see you in my dreams Bado nakuona, bado nakuona There’s a moment you know that this feeling is the right one and you never wanna let it go You are the reason everyday I take flight, wewe mdio mwangaza wakinizimia light Nakuwa close to you is what I wanna do Umenifanya napepea hisia zangu ziko juu Kuwa close to you is what I wanna do Unaniinua, unaniinua Hujawahi niweka down no no oh Nakuona in my dreams every time I close My eyes and I never wanna let you go I chose you, you chose me, You're the only one who knows me And I never wanna let you go. Nakuwa close to you Is what...