Mutoriah x Bensoul - Tosheka Lyrics
Mutoriah I took an apple everyday To keep the doctors away Ila vile napenda huyu msichana Ni ugonjwa na ye ndo dawa Ukisema leo unaondoka Uendako nitakufuata Good love is hard to come by these days Tulia, skia Watakusema mazuri mabaya mchana Na usiku watazidi kuchochana Ukiwaskiza eh mpenzi utakonda Hivo keti hapa na utosheke nami Watakusema mazuri na mabaya mchana Na usiku watazidi kuchochana Ukiwaskiza eh mpenzi utakonda Hivo keti hapa na utosheke nami Bensoul I took a puff everyday To keep my trouble days away But nothing gets me high like you (high like you baby) I'm walking under your juju Ukisema leo umechoka Nitaruka kichwa ukinitoka, yeah A good girl is hard to come by these days Tulia, skia Watakusema mazuri na mabaya mchana Na usiku watazidi kuchochana Ukiwaskiza eh mpenzi utakonda Hivo keti hapa na utosheke nami Watakusema mazuri na mabaya mchana Na usiku watazidi kuropokwa Ukiwaskiza eh mpenzi utakonda Hivo keti hapa...