Posts

Showing posts from September, 2019

Brian Nadra ft Bon'Eye and Konkodi - Bonge Lyrics

Image
Brian Nadra Hood boy yani boy wa mtaa Juu tu sana yeah you know I'm a star Drinks on me, we gon buy the whole bar Fukuza hii baridi na ka fry siko njaa Ah, ndio wanashangaa, bro nini hio umevaa Swagga balaa, nikishika mic pale madem wana swalalala Swalalalala swalalala, ha ha ha swalalalala And I'm only getting started, crazy not retarded Groupies show me love DMs are bombarded Anytime you see me ill be fresh off the oven Yani hot cake got the looks from my daddy Phobia yangi ni kufa msoto so imma go hard kama punch ya kushoto Bonge Bonge Ongeza hewa usinyonge Bonge Bonge, tunawapa mavidonge Bonge Bonge Ongeza hewa usinyonge Bonge Bonge, tunawapa mavidonge Boneye Ni yule headmaster karibu darasa Leta nyokonyoko nyahunyo nachapa Rarua hizi tracki hadi zina** Chafua meza munachanga Sina pesa kwa kibeti zote kwenye benki mula in plenty Funga biashara kama haileti Ka salo kako kwangu ni ka petty Ni yule boy, wa Kangemi, uli...