Sauti by Elly Sings and Halisi Lyrics
https://youtu.be/giO3XKAG_4Y Listen to the Audio Here Sauti by Elly Sings and Halisi (Full Version) Verse 1: Sema jina langu niguse kwenye roho Niimbie wimbo mimi huyu wako [Sema jina langu niguse kwenye roho Niimbie wimbo mimi huyu wako] Bridge: Sauti nyororo katoa nyoka pangoni Sauti nyororo kafanya nanoki Chorus: You spin my head round and round, Na sauti yako nyororo x 2 [You spin my head round and round, Na sauti yako nyororo] x 2 Post-Chorus: Ukiniambia goodnight, sidhani nitalala Ukiniambia goodmorning, nitasinzia Aaaaah [Nitasinzia] Aaaaah Verse 2: Sauti ya mahaba, yanikunywa haba na haba Sauti ya mabaha yachanganya jibber jabber, Sauti taratibu, ulimwengu ukiniadhibu Sauti yake wangu, tabibu ndio tibu Bridge Chorus Post-Chorus Verse 3: Nipe mkono wako Niguse kwayo hamu Fungua kinywa chako Nituze tabasamu Chorus Ukinia...