Niambie by Kenzo- Lyrics
Intro Kenzo ah! Matatahiii Tony alpha (twende kazi)x2 Nimechoka kuchemshia Jirani maji moto,n ami naoga majibaridi Verse 1 (Tumeshinda tukiachana, kurudiana ,unanichanganya Nimefanya Kila kitu ma, uwe Sawa wa wa wa, unanihepapa) x2 Ninalia Wewe unacheka Unaniweka mi gizani Mahaba yanimaliza Ohh My ohh my Chorus (Naomba uniambie Kama ni vipi niambie Usinitoke niambie Niambie niambie)x2 Verse 2 Kila siku kunitoka tu, nikiwa online unaenda off. Nimeenda mpaka dubai Kila kitu mi nime ba ba buy Nimechoka kupikia Jirani nami mwenzako ni na lala njaa (Ninalia wewe unacheka Unaniweka mi gizani Mahaba yanimaliza oh my oh my) X 2 Chorus (Naomba uniambie Kama ni vipi niambie Usinitoke niambie Niambie niambie)x2 Verse 3 (Tumeshinda tukiachana, kurudiana ,unanichanganya Nimefanya Kila kitu ma, uwe Sawa wa wa wa, unanihepapa) x2 N...