Posts

Showing posts from May, 2017

Nairobi Yangu Lyrics by Gilad and Superband

Image
Nairobi yangu, Nairobi yangu My city in the sun Nimeishi New York, LA and London and they were nice, Nimeona Amsterdam, Barcelona and Istanbul with my own eyes, But, kuna city moja, where I found love, Nairobi love, Nairobi yangu, Nairobi yangu Where I found love My city in the sun Driving through the streets of Nairobi, she may not be Paris or Rome, but here you'll never be alone. Look into the people's hearts, they'll show you love, we call it Nairobi love Nairobi love Driving through the streets of Nairobi, Don't worry about the traffic or noise and don't be afraid of the street boys. Just look into the people's hearts, They'll show you love, we call it Nairobi love, Nairobi love Nairobi yangu, Nairobi yangu We call it Nairobi Love Nairobi yangu Sleep sweet Nairobi It ain't always easy to see the light (Sleep sweet Nairobi) Nairobi yangu. (Sleep sweet Nairobi) Sleep peacefully tonight Nairobi yangu (Sleep swee...

Aminia Lyrics by Nyashinski

Image
Niko hapa kuwapa mziki mzuri wako hapa tu kuwa famous Ama juu waliskia marraper hupendwa na madem, basi wanajiita lyricist hawawezi ita views, ni Mimi tu ndio nimetoa lyrics video ikahit a million views Eti Nyash hii area si ulikam na ubaya Iko watu husema heri ata ungekuhamia ulaya Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa waretire Secular lakini unaandika gospel fire Si live a lie, najua ntasound nikaa Niko madre But juzi walai nilipanda matatu na Trey Na siuzi mayai, nimetoka mbali I say na siishi rongai True story Klepto si mtarudiana lakini hatujawai achana, tunarudiana kwanini Na majaliwa inshalah mi nahawa vijana wawili tutazidi sana kando na kukosana niamini Tuspiane akili mi nina kichaa Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndio teacher Enyewe manze wataacha lini, kujichocha Juu ni clear tukismama ao na mi ni mi mnapreffer Aminia oh nananana na na na na *5 Aminia Ah ah ah ah ah aie. *3 Kuna tenje yangu flani heri ibaki mteja tu Au nkitoka niiachange kwa keja tu ...

Hasara Roho Lyrics by Darasa

Image
A h kama unataka kiki kwa pikipiki Mara black mara white vipi Kama unatikisa kibiriti I play no game I’m sorry rafiki Ukija kama upepo utapepea Ukijifanya una mapepo tunakemea Kama unataka mchezo kawashe runinga Siku hizi hakuna mtu anataka ujinga Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi Meli inaelea feri inazama shilingi Haraka na harakati zako za pimbi Unataka kucheza wewe na ushike filimbi Binadamu angekua neja Maneno yangeshutiki kama risasi Vitu vingine vikienda Havirudi reverse kama samaki Hasara roho inachopenda tunasemaga pesa makaratasi Hakuna wasiwasi tukaze mwendo ili tuende na wakati eh Tuweke tuzo za wachukiaji Bongo kuna watu wana vipaji Utarusha madongo kwenye maji Bora upige michongo utanipa midadi Mara chenga mara no networki Zigizaga vitu havieleweki Life siku hizi imezidi kuwa complicate Ukichanganya na mambo ya internet (jeraha) Mwisho utatukana picha ukutani (jeraha) Si atutafuti mchawi nani Sasa chagua utajifungia chumbani Au unatoka go...

Malaika by Nyashinski Lyrics.

Image
Wuuu Huu huu, Yeyyeiyei Wooohoa Nanana Ooh, I love you baby Uko na tabia za kupendeza roho Tabasamu ya kupapasa macho Sauti yako nikiskia pia natulia  yanipunguzia hasira nnazo Urembo wako ulininasa roho Siku ya kwanza kukuona kwa macho Sa moyoni umekwamia siwezi kutania  njoo unipunguzie mawazo And I feel you in my air when I breathe I see you in my dreams when I sleep You're the one I've been waiting for all my life Mmh, deep down in my heart I believe Unanifeel nakufeel hii ni real The one I've been waiting for all my life Chorus Uko sawa na, wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndio mama yao Ni wewe nachagua sisemi nao Sisemi  Ooh baby uko sawa na, wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndio Mama yao Ni wewe nachagua sisemi ooh sisemi oooh sisemi Ooh I love you baby yeei And even though I've never been here before Somehow I know that this is how it feels to fall in love Baby you know I love you, I place no ...

Say Nanana Lyrics

Image
Huu wimbo ni wako, nilikuandikia But you’re too far away to hear And I wanna whisper in your ear Huu wimbo ni wako, kuja karibu yangu And I’ll hold you close as I sing for you Wewe ni wangu, mimi ni wako If you come closer, I’ll sing for you And if you want me to sing for you say Na Say nanana , say na na if you want me to sing for you say na Say na na na , say na na Huu wimbo ni wako, nilikuandikia But you’re too far to understand,  you hold the answers in your hand Huu wimbo ni wako, kuja karibu yangu And I’ll hold you close as I sing for you Wewe ni wangu, mimi ni wako If you come closer, Ill sing for you  and if you want me to sing for you Say na, before we kiss say nanana I know ushanimiss When you need me, nanana and I’ll be there. Nitafanya utabasamu, nitahakikisha unatabasamu Nataka kuona ukitabasamu And if you want me to sing If you want me to sing for you say na, Before we kiss say nanana Najua ushanimiss, wh...

For You Lyrics by Le Band

Image
Verse 1 When you looked in the mirror,you always cried It didn’t look any clearer,because you were in strife Ulisema hawakujali, eti yu wapi Jalali Machozi yalikutoka, hukujua la kufanya You said it was all wrong, well I’m here to make it right You said you were in fights, well I’m here to fight for life You said you were feeling low, well I’m here to be your high And I just want you to know, one thing you’ve never known I just want you to know, one thing you’ve never known Chorus When the sun shines, it shines for you When the wind blows, I’ll cover you When you think you’re all alone , know I’m always there for you When the rain drops, I’ll cover you I’ll do it all for you (uuuuuuuuuuuuuuuu) I’ll do it all for you, I’ll do it all for you (uuuuuuuuuuuuuuuu) Verse 2 Niamini na haya mapenzi, leo vitzi kisha kesho Bentley Usiwe na hofu tunajenga kasri, mimi na we, milele na milele Ukitaka nikulinde, I will be your Rambo Ukitaka tubanjuke, we can groove to kanambo Ukisema niruk...