Posts

Showing posts from April, 2017

Unikumbushe Lyrics Bahati × Rayvanny

Image
Usiponiona leo kama jana kesho unikumbushe Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe. Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe. (Nikumbushe, unikumbushe)×2 RAYVANNY Leo nyota imengaa, nasahau nilikotoka Naidharau mitaa na mateso niliyosota Ndugu zangu ni kinyaa, mafukara wananichosha Niwaache wafe na njaa, nijisifu nitawanyosha Sili kwetu kisumu bondo chakula haina swagga Sitaki kula chapo dondo nataka pizza na bugger Uniepushe maulana nisiishie njiani Unikumbushe ya jana kesho nipe dhamani Kwenye maisha ya muziki, ukiwa na upendo utaishi. Timu hazijengi urafiki tusije kuuana kwa kugombania Viti Eti nimuwache mama kwenye dhiki Kisa mambo yangu yametiki Akipiga simu siishiki, nikipokea nimuone kama shafiki. CHORUS Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe. Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Sipo kua leo kama jana kesho unikumbushe. (Nikumbushe, unikumbushe) ×2 ...