Posts

Showing posts from January, 2017

Muziki Lyrics by Darasa and Ben Pol

Image
Intro Rudi utotoni, usipotembea kibebwa mgongoni 255 champion boy niite bwana samata Verse 1 Unaota mapembe uongezee mkia, Na ukinibeep tu nakupugia,  let me make one thing clear, bruh bruh bruh sitaki kusikia. Sio simba sio chui Sio mamba, shangwe inatosha kujigamba, Na sina maneno kwenye kanga  kazi juu ya kazi yani bamba to bamba. Sa unawenza kuzaa kizaa kizaa, sinzia na fegi uchome kibanda walale uote ndoto zako za kitanda si bado tuko macho mida ya wanga, funga mkanda kaza na kamba Ama ufate yaya uchane msamba, pasua miamba pasua anga, tunasemanga chambua kama karanga. . Chorus Hee, tosha na muziki, acha maneno weka muziki. Ukiwa sad, ukiwa hap' ukiwa juu ukiwa chini piga mziki. Yeeeye, safari na muziki Acha maneno weka muziki. Yeeey, Kile unachopenda, na ukitaka kucheza, cheza muziki. Bambata, shika kamata, rhumba sakata. Hapo ka mchizi shadata, shadata aaa Verse 2 Wataka kukimbia na huna break....what do you expect Bongo, Congo kwa Th...

Senzenina By King Kaka Lyrics

Image
Senzeninaaaa Senzenina senzenina ×8 Okay, King kaka Foot prints kando ya bahari nikiskia syphone ya maji. Vile samaki na boat zina dance, kweli Mungu ana kipaji. But all good things ziko na mwisho, I think the end ndio huitwanga Kifo. Ulienda kama worrior, sababu we ndio ungetuwakilisha. Lini unamaliza quest, ni lini unaitamatisha? Already kuna ngombe nono, ukirudi tunaichinja. Maisha sikuhizi inanisakata, wacha vile tulikua tunasakata dimba. Room yako tumeiwacha the same vile tu ilikua inakaa. Ile  poster zile  viatu, na tulifold nguo vile ulikua unazipanga. Ntaangalia na nani sunset? Vile inazama ndani, kama hurudi itumbukie, na isitoke uko ndani. Ile pilau tulijaribu kuipika, ... kumbe ni mchele tu! Sijui nini ilifanyika, mi wakili wako niambie nikutetee tu. Walisahau jina yako, siku hizi wanakuita  marehemu na the late. Najua it's not too late kwangu its now kuja tushare na we meal kwa plate, Macho zangu ziko na layer ya sadness akitoka shul...