Posts

Showing posts from October, 2016

No Woman no Party lyrics- Kansoul

Image
Kansoul hehe Mejja Woote Tunaye Mejja, tunataka Lucy Tunaye Maddy tunataka Betty Tunaye Kora (Kidkora) tunataka Mercy (whoop) Atieno, Nyambura, Naisola No woman no party , no party ×4 No Hellen no party , no party. No Patricia no party, no party. No Jackie no party, no party, no Michelle no Meghan no Susan no party. Ah, Taka kuona maskati, kwa dance floor akikatika katikati Ka umesimama, chali kwa chali tafadhali beshte rudi nyumbani. Ah ntaka manzi mswahili, anionyeshe uthamu wa uji , Uthamu wa uji nkutingisha birauli Manzi mjaka, nyuma amejibeba niile haga ikipita yani huwezi lenga Aah manzi wa kakamega, teke county miguu ndio kusema haha manzi mkamba Mi huskia kunengua mambo mbaya Ooh my commanding wife, manzi wa nyeri ukimnyima dime she will destroy your life. Tunaye Mejja, tunataka Lucy Tunaye Maddy tunataka Betty Tunaye Kora tunataka Mercy Atieno, Nyambura, Naisola No woman no party  ×3 No Michelle no Meghan no Susan no pareee I said there's no p...

Mungu Pekee Lyrics By Nyashinski

Image
Sijui Ka ntaona kesho Ka ningali na uwezo wa kuifanya ntaifanya hadi mwisho Mwambieni uyo devo, simwogopi shetani, Sir God yuko nami hadi kifo Ka ntaona kesho, nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee Daima ni we, Imara wasiniangushe. Naona saa, kila siku nizawadi toka Maulana So haja gani ushike tama Mum, Majaribu huisha ooh aae! Na hata ka, maadui zangu watashikana nao njama siogopi nasimama mum Yakiama yao yaja eeh. Hio ndio pace nasonga nayo, wanashangaa hakuna stress nakuanga nayo Naishi ka sina Case mahakamani, Au madeni za majirani niko Fresh njee na ndani, oooh yaae! Chorus Naamwogopa Mungu Pekee, wanadam' kija kuntafash naomba Mungu Ntetee, maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe. Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke. I know you love me , know you love me So I Don't fear Nobody But You I know you love me know you love me Nisitetemeke ×2 Ah! Siamini joh ju vile naishi life Ni ngumu kuamini hii si ndoto. Sijui kesho vile itakaa kwa hiv...